Main Mkabala wa Lenin Kuhusu Suala la Mataifa

Mkabala wa Lenin Kuhusu Suala la Mataifa

4.0 / 5.0
0 comments
Перевод на суахили. Гилилов С.C. Ленинская программа решения национального вопроса. Серия "Библиотека политических знаний".О разработке ленинского теоретического наследия по вопросам строительства советского многонационального государства, определению основных принципов формирования и развития национально-государственной структуры СССР. “Mfululizo wa ‘Vitabu vya Maarifa ya Kisiasa’ ambao umeanza kutengenezwa kwa ajili ya wasomaji wetu, ni sehemu ya mwanzo ya mkusanyiko maalum wa maandishi yaelezeayo masuala ya maendeleo ya kijamii katika zama zetu. Vitabu vilivyomo ndani ya mfululizo huo vinatoa maelezo rahisi ya masuala yahusikayo na mwundiko wa jamii, mwenendo wa kubadilika kwa mifumo ya kijamii ya aina tofauti, halikadhalika tabia muhimu za mapinduzi ya kisayansi na ya kiufundi katika ulimwengu wa leo.”
Request Code : ZLIBIO3169645
Categories:
Year:
1985
Publisher:
Progress Publishers / Shirika la Huduma za Maktaba Tanzania
Language:
Kiswahili (Swahili)
Series:
Mfululizo was Vitabu vya Maarifa ya Kisiasa

Comments of this book

There are no comments yet.